TANGAZO
LA MAFUNZO CHUO CHA VETA SONGEA
MKUU wa Chuo cha
Ufundi Stadi VETA kilichopo Msamala Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma anatangaza
kozi ndefu na fupi zinazotolewa na chuo hicho ambazo zinamwezesha mhitimu
kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe.
KOZI
NDEFU NI
1.Ufundi wa magari
2.Uungaji vyuma
3.Umeme wa magari
4.Umeme wa majumba
5.Useremala
6.Uashi
7.Ufundi bomba
8.Ushonaji nguo
9.Uhazili na kompyuta
10.Matumizi ya
kompyuta
KOZI
ZA MUDA MFUPI
1.Udereva wa
magari(daraja D)
2.Udereva wa magari
ya abiria na pikipiki
3.Uhazili
4.Ukarabati wa
kompyuta
5.Utumiaji wa
kompyuta
6.Umeme wa majumba
7.Umeme wa jua
8.Ulimbwende(Saloon
ya kike)
9.Utengenezaji wa
dawa za usafi,sabuni za maji na upishi
10.Utengenezaji wa
batiki na sabuni
11.Ufugaji kuku
12.Uandaaji wa vyakula(Catering).
Lengo la serikali kuanzisha vyuo vya VETA ni
kutoa ujuzi kwa wahitaji wote mahali
popote walipo ili kupunguza changamoto ya ajira nchini ambayo
inawakabili wananchi wengi.
KUMBUKA
VETA Songea imedhamiria kuwajengea uwezo wahitimu
wa fani mbalimbali kabla ya hawajaingia rasmi kwenye soko la ajira.
Kwa
mawasiliano zaidi piga simu namba zifuatazo:
SIMU:0767237543
AU 0754652674
EMAIL:songeavtc@veta.go.tz
WOTE
MNAKARIBISHWA
Post a Comment