Uongozi wa
Ofisi ya Uhariri Peramiho (Peramiho Publications) unakutakia Heri ya Noeli na
Mwaka Mpya…..!
Zaidi tu….!
Tuseme “Asante” kwa wewe ulieshirikiana nasi bega kwa bega kwa kipindi chote
cha mwaka 2017.
Tukutane
mwaka 2018. Mwaka ambao tutakuwa nanyi kwa 100% kwa kukuletea machapisho bora
(kiwango cha lami) yaliyoandaliwa toka kwenye Ofisi yetu (Mwenge,Vitabu, Mlezi,
Kalenda n.k).
OUR MOTTO:
STANDARD AND SPEED!
Post a Comment